Stories with Ubongo Kids! | Swahili Episodes | Ubongo Kids
Tumia Ubongo! Uliza maswali. Kuwa mdadisi! Jamani! Mwaka huu, Ubongo Kids ni ZAIDI ya hisabati na sayansi! Msimu huu si KAMA ULIVYOZOEA! This video was made possible by a grant from the Goodall Foundation. Ubongo Kids MPYA inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Msimu wa 3 wa Ubongo Kids utakuandaa kifikra, ukichochea uwezo wako wa kung’amua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
MATHS TOPIC QUESTIONS
MILITARY AND WAR: Inside British Army Training Camp in Kenya. Why #BritishArmy /Soldiers Are Here.
GRADE 8 MATHEMATICS
The Life of Idi Amin Dada: The Man Who Ruled Uganda with an Iron Fist
Primary 1 English
Primary 6 English
SS 3 English
Primary 2 English
Ms. Rachel | Netflix Jr
The Alphabet in Magical Lands
Pry 1 Primary English
English Language - Grade 2
Kindergarten - 5 to 6 years old
Preschool - 3 to 4 years old
ثاني متوسط الفصل الثالث
اللغة الانجليزية - الصف الاول الاعدادى
Level 2 English | Little Fox
ACTION 2
Year 10 English
Year8 English
Alphabet Letter Hunt!
Pry2 English
Level 8 English | Little Fox
Pry5 English
Featured Picks
مزید entertainment چاہتے ہیں؟ ہمارے recommended gaming hub اور short-drama destination کو explore کریں۔


