Akiba's Songs | Ubongo Kids | Educational Rhymes in Swahili
Jifunze kuhusu kuweka akiba ya pesa kupitia hii episode nzima ya Ubongo Kids! Jamani, kumbuka kwamba akiba haiozi, na ukihifadhi pesa zako leo zitakusaidia wakati wa shida kesho! Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 13, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya AkiliandMe inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Tazama Ubongo Kids kila Jumamosi na Jumapili saa 3 asubuhi kupitia TBC1! Pata pia webisodes zetu zote kupitia:
آپ کو یہ بھی پسند آ سکتا ہے
SS 2 English
Level 8 English | Little Fox
Pry6 English
KS3 English
Read with Akili and Me | Cartoons for Preschoolers | African Cartoons
Exploring Tamaa, Being Curious with Ubongo Kids! | Swahili Verses | Ubongo Kids
Akili and the River | Read with Akili and Me | Educational Cartoons for Preschoolers
Animal Alphabet | Akili and Me African Cartoons | Animals from Africa... and around the World!
Primary 6 English
SS 3 English
Primary 4 English
Primary 3 English
Primary 1 English
Primary 2 English
Nursery Rhymes | Words & Sounds
Learn English with Movies
SS 1 English
Learn With Ms Rachel - Learn To Talk - Baby, Toddler and Preschool Learning
Learn To Talk with Ms Rachel
Learn English with Music
Literacy
Learn the Letters of the ABCs!
Learning for children
Class 6 English Grammar | Complete Course | All Chapters Available
Featured Picks
مزید entertainment چاہتے ہیں؟ ہمارے recommended gaming hub اور short-drama destination کو explore کریں۔


