What's Up? | Let's Sing Together | Ubongo Kids
Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo! Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule! Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika. Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: /ubongokids /ubongotz Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning! Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains #UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu
Vous aimerez aussi
Learn Christmas English with TV Series and Movies
Pry2 English
Ms. Rachel | Netflix Jr
The Alphabet in Magical Lands
Primary 4 English
Learn English with Movies
JS 3 English
Learn With Ms Rachel - Learn To Talk - Baby, Toddler and Preschool Learning
SS 3 English
Learn English with Akili and Me!
Year4 English
JS 1 English
Read with Akili and Me | Cartoons for Preschoolers | African Cartoons
Exploring Tamaa, Being Curious with Ubongo Kids! | Swahili Verses | Ubongo Kids
Akili and the River | Read with Akili and Me | Educational Cartoons for Preschoolers
Animal Alphabet | Akili and Me African Cartoons | Animals from Africa... and around the World!
Primary 1 English
Primary 6 English
Primary 2 English
Nursery Rhymes | Words & Sounds
Grade 1 English
Basic English Skills: Travel
English Vocabulary Primary 1
Videos for Kids
Suggestions mises en avant
Envie de plus de divertissement ? Découvrez notre plateforme de jeux recommandée et notre destination de mini-dramas.


