Ambwene Mwasongwe - Nimeachilia (Official Music Video)
Ambwene Mwasongwe presents the Official Music Video for "Nimeachilia" Maelezo ya wimbo wa Nimeachilia; Wimbo huu ni wimbo uliobeba hisia za maumivu makali ya usaliti ambayo nimekuwa nikishuhudia kutokana na maisha ya watu... Wengi wetu tuna doa kama si vidonda moyoni kutoka kwa watu tuliowapenda na kuwaamini sana lakini hawakutulipa imani, upendo na matumaini tuliyokuwa nayo juu yao. Je! Umewahi kuumizwa na mtu kiasi ukisikia hata jina lake linaitwa unahisi kama bomu la nyuklia limepigwa moyoni mwako Kwenye maisha haya watu tuliowatarajia na kuwapenda sana na kutoa kila kitu chetu, moyo, mali, muda, fedha, wakati mwingine hata tumewachangia figo ili waishi.. LAKINI BILA KUTARAJIA WAKATUAMBIA HAWANA FUTURE NASI NA HAWAJISIKII KUENDELEA NASI. Haya maneno huwa hayatoki haraka moyoni, ni kama kisu kikali kilichokaa motoni kimeiva na kinakata moyo huku kinachoma..... Yanaleta kizunguzungu, kichomi, presha na mawazo mengj... MIMI NAKUPA POLE KWA LOLOTE ULILOWAHI PITIA KWA MAISHA YAKO... NA KWA KUGUSWA NA MAUMIVU YAKO, MUNGU AMENIPA WIMBO NIKUAMBIAlE SAMEHE NA ACHILIA, MBELE YAKO YAKO MAISHA MENGINE. Wewe umezungukwa na watu wengi sana wanaokupenda wa kwanza ni #YESU ANAYEKATA KIU YA UPENDO ULIYONAYO, YEYE HAWEZI KUKUAMBIA MANENO KAMA ULIYOAMBIWA.. Wa pili una wazazi wako baba na mama wanakupenda sana mpaka mwisho hawawezi kukukatia tamaa... wa tatu ndugu zako, dada, kaka, wadogo zako na wengine... majirani na marafiki zako. KWA NINI UFE NA UUMIE KWA SABABU YA MANENO YA KUUMIZA YA MTU MMOJA NA KWA NINI USIISHI NA KUWA NA FURAHA KWA SABABU YA MANENO YA UPENDO YA NDUGU WENGI NA #YESU AKIWA NA UPENDO MKUU ZAIDI. NA MWISHO NIPO MIMI #AMBWENEMWASONGWE NINAYEACHIA WIMBO WA KUKUPONYA KESHO JUMATATU TAR 13 Saa 1:00 usiku. USIKOSE WIMBO HUU #NIMEACHILIA Kuanzia kesho tutasema kwa njia ya wimbo Watch All Music Videos by Ambwene Mwasongwe: https://youtube.com/playlistlist=PL0W60mvs2JeKQm0mqaGbrtYir5TNujyTs Follow Ambwene Mwasongwe Instagram: https://www.instagram.com/ambwenemwasongwe_/ Subscribe to Amb
Mungkin Anda Juga Suka
Joel Lwaga - Olodumare (Official Lyric Video)
Zuchu - Antenna (Official Music Video)
D Voice feat Zuchu - Nani (Official Music Video)
Mbosso - Ova (Official Music Video)
ZABRON SINGERS-ATAFANYA KITU (Official Video)
Rose Muhando -Sitanyamaza
Rose Muhando - Wanyamazishe (Official Music Video) SMS SKIZA 7634235 TO 811
Agape Gospel Band - Wazee 24 ( Official Music Video )
Mercy Chinwo - We Move (Official Video)
Israel Mbonyi - Sikiliza
Israel Mbonyi - Nina Siri
Top Praise and Worship Songs 2024 Playlist - Nonstop Christian Gospel Songs
Joyous Celebration - Ndenzel' Uncedo Hymn 377 (Official Video)
Rebecca Malope - My Mother
Dorcas Moyo Ndipeiwo Mukana Official Music Video
omah lay songs - best
Best Chill Acoustic Love Songs Playlist 2023 ❤️ Soft Acoustic Cover Popular Love Songs Of All Time
Rich Sex
“Golden” Official Lyric Video | KPop Demon Hunters | Sony Animation
Rose Muhando Ee Mungu Nitakushukuru
Oceans Song by Hillsong UNITED (Lyric Video) | Matt Redman & Hillsong Worship
Joyous Celebration - Wakhazimula (Live At The Joburg Theatre / 2022)
Still | Hillsong Worship Lyrics
Jay Melody - Siyawezi (Official Video)
Pilihan Unggulan
Ingin hiburan tambahan? Jelajahi hub game rekomendasi kami dan destinasi short drama pilihan.


