Neema Gospel Choir - Permanent (Live Music Video)
Tunamshukuru Mungu kwa mambo ya ajabu aliyotenda maishani Mwetu. Baraka na matendo yake yametuletea furaha na nguvu nyakati zote, hata nyakati za shida. Kama asemavyo Mwandishi wa Zaburi, "BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi." (Zaburi 126:3). ๐ฏ๏ธ๐ฏ๏ธ๐ฏ๏ธ๐ฏ๏ธ Kupitia wimbo huu wa PERMANENT tunaweza kuona ndani yake kuna: ๐Shukurani ya KiMungu (Divine Gratitude): Shukurani kwa matendo makuu ambayo Mungu ameyafanya katika maisha yetu. ๐Imani na Ujasiri (Faith and Confidence): Ujasiri na uhakika katika uwepo na msaada wa Mungu katika maisha yetu. ๐Ulinzi na Uwakili (Protection and Advocacy): Mungu anaelezwa kama mlinzi na mwakilishi ambaye huhakikisha usalama wetu na kupigania haki zetu. ๐Kudumu kwa Baraka (Permanent Blessings): Dhana ya agano la kudumu la baraka za Mungu inasisitizwa, ikionesha uhusiano usiovunjika na endelevu kati yetu na Mungu. ๐Kutokuwepo kwa Hofu (Absence of Fear): Hakikisho kutoka kwa Mungu husababisha kutokuwepo kwa hofu na taharuki katika maisha yetu. Songwriter & Composer: Samuel Limbu & Fredrick Japhet Masanja Leader: โ David Kusekwa, Mariam Protace & Esther Isaac Kilago โโ VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam. ๐๐ฅ๐๐๐๐ง: ๐๐ข๐๐๐จ ๐๐ข๐ซ๐๐๐ญ๐จ๐ซ: Amigo Johnson ๐๐ข๐๐๐จ ๐๐๐ข๐ญ๐จ๐ซ: Titus Alfred ๐๐ฎ๐๐ข๐จ: Victorious Production ๐๐จ๐ฎ๐ง๐ & ๐๐ญ๐๐ ๐: ABE Professional Sound ๐๐๐ซ๐๐๐ง: ABE & Ryzen ๐๐จ๐ฎ๐ง๐ ๐๐ง๐ ๐ข๐ง๐๐๐ซ: Jeddy ๐๐จ๐ง๐ข๐ญ๐จ๐ซ ๐๐ง๐ ๐ข๐ง๐๐๐ซ: Junior Albert (Gaddy) ๐๐ข๐ ๐ก๐ญ๐ฌ ๐๐ซ๐จ๐ฏ๐ข๐๐๐ซ: Allan Lights ๐๐ข๐ ๐ก๐ญ๐ข๐ง๐ ๐๐ง๐ ๐ข๐ง๐๐๐ซ: Maxlifah. (Max the Alternative) ๐ฐ๐ช ๐๐ญ๐๐ ๐ ๐๐๐ฌ๐ข๐ ๐ง: Parmena Winfred ๐๐ซ๐จ๐๐ฎ๐๐ญ๐ข๐จ๐ง ๐๐๐ง๐๐ ๐๐ซ: Production Fundam
Casting
Neema Gospel Choir
Singer
Vous aimerez aussi
Lionel Richie, Phil Collins, Air Supply,Bee Gees, Chicago, Rod Stewart - Best Soft Rock 70s,80s,90s
Ed Sheeran Greatest Hits Full Album 2022 - Ed Sheeran Best Song Playlist 2022
Avicii, Maroon 5, Selena Gomez, Alan Walker, Miley Cyrus, Ellie Goulding โ ๏ธ Summer Vibes Deep House
ArianaGrande Mix 2023
Rani Rastaciti - Illicit (Official Video)
Ciara, Diamond Platnumz - Low (Official Music Video)
Skillibeng - Ivany (Official Audio)
Vybz Kartel - Colouring This Life
Avatar: The Last Airbender Theme | EPIC VERSION
Goon Flavour, Master KG & Naledi Aphiwe - Mina Nawe (Official Music Video)
Uncle Waffles - ZENZELE (Remix)
Silent Sanctuary Non-Stop Playlist (37 Songs)
Culpa mรญa / My Fault: K. - Cigarettes After Sex
Ayra Starr - Hot Body
No Strings Attached (2011) - Sex Friends Scene (3/10) | Movieclips
The Twilight Saga: Breaking Dawn - Part 1 โข A Thousand Years โข Christina Perri
Bob Marley Greatest Hits Reggae Songs 2023 | Bob Marley Full Playlist
Trending songs 2024 โ๏ธTiktok trending songs ~ Top music 2024
Blue Lagoon 3. The Awakening ( La Isla Bonita - Super Mix - Madonna )
Chris Brown - Don't Judge Me
HARMONIZE - MATATIZO (Official Video )
Best Songs Of Westlife Westlife Greatest Hits Playlist 2022
โTakedownโ KPop Demon Hunters (Soundtrack from the Netflix Film) | HUNTR/X
I AM LEGEND 2 - TRAILER (2025) Will Smith | Based on the Second Ending | TeaserPRO's Concept Version
Suggestions mises en avant
Envie de plus de divertissement ? Dรฉcouvrez notre plateforme de jeux recommandรฉe et notre destination de mini-dramas.


